Wananchi wa Kata ya Bangwe na Burega katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameipongeza serikali kwa kukamilisha ujenzi wa barabara ya Bangwe – Ujiji Na Mwandishi wetu Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Kigoma imekamilisha ujenzi wa barabara ya Bango-Burega-Ujiji yenye urefu wa Kilomita 7 kwa kiwango cha lami iliyotekelezwa chini ya mradi wa Uendelezaji wa…