Zao la tumbaku ni moja ya mazao makuu ya biashara katika mkoa wa Kigoma ikiwaingizia kipato wakulima wengi hasa katika wilaya za Kasulu, Kakonko na Uvinza Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amevitaka vyama vya ushirika kuwa waadilifu ili kuendelea kukuza uzalishaji wa zao la tumbaku ambapo kwa mwaka 2025/2026 lilishika nafasi ya pili kwa ngazi ya mkoa kwa…