August 5, 2026

Kongamano hilo limeelezwa kuwa sehemu ya juhudi za Kanisa la PEFA kuwawezesha wanawake kwa kuwapa maarifa ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha na mbinu za kujitegemea kiuchumi Na Lucas Hoha Wanawake wa Kanisa la Pentecostal Evangelistic Fellowship of Africa (PEFA) Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kufanya kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi, huku wakipewa jukumu la kulea watoto katika maadili…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *