Uhamiaji haramu ni kitendo cha mtu kuingia, kuishi au kufanya kazi katika nchi fulani bila kufuata taratibu na sheria zilizowekwa na nchi hiyo na tatizo hili limekuwa katika sehemu mbalimbali duniani kutokana na sababu kama vile ukosefu wa ajira, umaskini, migogoro ya kisiasa na kutafuta maisha bora Na Hagai Ruyagila Wananchi wa Kata ya Nyamnyusi, Halmashauri ya Wilayani Kasulu Mkoani…