August 4, 2026

Kwa matokeo hayo ya asilimia 100 ya ufaulu wa kidato cha sita, Halmashauri ya Mji Kasulu inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha sekta ya elimu na kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imeendelea kufanya vizuri katika sekta ya elimu baada ya wanafunzi wa kidato cha sita…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *