Maonyesho ya Nane Nane ni tukio muhimu linalofanyika kila mwaka nchini Tanzania tarehe 8 Agosti na maonyesho haya huwakutanisha wakulima, wafugaji, wavuvi, wataalamu wa kilimo, taasisi mbalimbali, na wafanyabiashara kwa lengo la kuonesha maendeleo na ubunifu katika sekta ya kilimo Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka maafisa ugani kuwafikia wafugaji na…