Halmashauri zina jukumu la kusimamia maendeleo na kutoa huduma muhimu kwa wananchi katika maeneo yao na ili ziweze kutekeleza majukumu hayo kwa ufanisi zinahitaji kuwa na rasilimali za kutosha za kifedha na hivyo uanzishwaji wa vyanzo vipya vya mapato ni kuongeza uwezo wa kifedha na kuboresha utoaji wa huduma Na Mwandishi wetu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka viongozi…