July 22, 2026

Uchangiaji wa damu salama ni moja ya matendo muhimu ya kibinadamu yanayochangia kuokoa maisha ya watu wengi na damu ni rasilimali muhimu ambayo haiwezi kutengenezwa viwandani, hivyo hupatikana kupitia watu wanaojitolea kuchangia Na Emmanuel Kamangu Kikundi cha Kiislamu cha JAI wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, kimezindua zoezi la uchangiaji wa damu salama katika Hospitali ya Mji wa Kasulu…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *