Mfumo wa Upimaji wa Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma (PEPMIS) ni mfumo wa kidijitali unaotumika kuwasaidia watumishi wa umma kupanga, kutekeleza, kufuatilia na kutathmini utendaji wao wa kazi na mfumo huu umeanzishwa ili kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi Na Hagai Ruyagila Watumishi wa Halmashauri ya Mji Kasulu wametakiwa kuzingatia matumizi…