July 14, 2026

Ushiriki wa wananchi katika miradi ya maendeleo inasaidia katika ulinzi wake na hata kusonga mbele Na Mwandishi wetu Zaidi ya wananchi 3,000 wa Kata ya Mwayaya, Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wamejitolea kufyatua matofali kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo ilikwama kutokana na sababu mbalimbali. Zoezi hilo la ufyatuaji wa matofali linalenga…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *