July 9, 2026

Kupokelewa kwa majengo ya Chuo cha Ufundi Maloregwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea maendeleo ya elimu na uchumi wa wananchi wa wilaya hiyo Na Mwandishi wetu Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, mkoani Kigoma, imekabidhiwa rasmi majengo ya Chuo cha Ufundi Maloregwa yaliyokuwa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *