July 2, 2026

Utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani na Halmashauri ni moja ya mikakati ya Serikali ya kuwawezesha wananchi kiuchumi, hususan wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kusaidia kuendeleza na kupanua shughuli za uzalishaji na biashara, jambo linalochangia kuongeza kipato na kuboresha maisha yao Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imetoa mikopo ya…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *