June 24, 2026

Mradi huu utaimarisha huduma za usafiri wa anga kwa kuongeza uwezo wa kiwanja kuhudumia ndege kubwa zaidi na itarahisisha usafiri wa abiria na mizigo kutoka Kigoma kwenda maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi Na Mwandishi wetu Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imesema kuwa mradi wa ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha NdegeKigoma umefikia asilimia 60 ya…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *