Maji ni rasilimali muhimu katika maisha ya binadamu na viumbe wengine wote duniani na hakuna kiumbe kinachoweza kuishi bila maji kwa muda mrefu Na Sadick Kibwana Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidyama Kata ya Kigondo katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu, wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya upatikanaji wa maji safi na salama ili kupunguza hatari ya magonjwa ya mlipuko yanayoweza…