Wajane ni kundi muhimu katika jamii ambalo mara nyingi hukumbana na changamoto mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisheria baada ya kufiwa na wenza wao na ni muhimu kwa wajane kutambua na kupigania haki zao ili waweze kuishi maisha bora na kuchangia maendeleo ya familia pamoja na jamii kwa ujumla Na Sadick Kibwana Wajane mkoani Kigoma wametakiwa kutambua na kupigania haki zao kwa kufuata…