Elimu ya ukatili imeendelea kutolewa katika makundi mbalimbali lengo likiwa ni kuhakikisha vitendo vya ukatili vinaisha kwebye jamii ambavyo vimekuwa vikipoteza ndoto za mabinti. Na Lucas Hoha Baadhi ya watoto wa kike ambao wamepata changamoto ya kubeba ujauzito katika umri mdogo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wameshukuru shirika la MALKA FOUNDATION HELPER kwa kuwapa elimu ya…