June 18, 2026

Waamini wa dini ya kikristo na wasio wakristo Mkoani Kigoma wameaswa kuondokana na imani za kishirikina na badala yake kumfanya Mungu kuwa ngome katika maisha yao. Hayo yamesemwa na Rd Matiasi Kalihadya katika misa takatifu iliyoambatana na ibada ya uzinduzi wa albamu ya “Bwana ni Ngome” ya kwaya ya wito iliyofanyika katika viwanja vya kanisa la mtakatifu Yohane Anglikana Kibwigwa Mkoani…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *