Ukatili wa kiuchumi ni aina ya ukandamizaji ambapo mtu mmoja humzuia mwingine kupata, kutumia au kumiliki rasilimali za fedha na mali au kutoshirikishwa katika maamzi ya kiuchumi kwa familia. Mara nyingi wanawake na wasichana hukumbwa na ukatili huu katika familia, jamii na hata sehemu za kazi, ukatili wa kiuchumi unaweza kujitokeza kwa njia mbalimbali kama kunyimwa haki ya kufanya kazi…