Maonesho ya biashara ni mikusanyiko inayowakutanisha wafanyabiashara, wazalishaji, wanunuzi na wananchi kwa lengo la kuonyesha bidhaa na huduma mbalimbali Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amezitaka mamlaka za kibiashara za Tanzania na Burundi kushughulikia changamoto ya vikwazo visivyo vya kikodi ili kuimarisha Biashara baina ya mataifa hayo mawili.