Usimamizi madhubiti wa miradi unasaidia kuchochea maendeleo kwa wananchi Na Emmanuel Kamangu Watumishi wa umma Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kushirikiana ili kuhakikisha wanawaletea wananchi maendeleo. Amebainisha hayo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanal Isack Mwakisu wakati akizungumza wanachama wa Timu Yanga ambao ni watumishi wa uma na wasio watumishi…