Hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kudhibiti uharibifu wa misitu na kuhakikisha shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika mwambao wa Ziwa Tanganyika zinafuata sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, Mtela Mwampamba, ameamuru kutaifishwa kwa boti 14 za mizigo na uvuvi zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 4.8…