October 8, 2026

Walimu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu Mkoani wamesema utatuzi wa changamoto zinazowakabili ni sehemu muhumu ya kuweka mazingira rafiki kwao. Na Hagai Ruyagila Baadhi ya walimu wenye ulemavu Mkoani Kigoma wameiomba Serikali kuchukua hatua za kutatua changamoto zinazowakabili katika mazingira yao ya kazi, ili kuwawezesha kutekeleza majukumu ya ufundishaji kwa ufanisi…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *