Siku ya Vipimo duniani huadhimishwa kila tarehe 20 Mei kila mwaka na siku hii inalenga kuhamasisha matumizi sahihi ya vipimo katika biashara, viwanda na maisha ya kila siku na vipimo sahihi vina mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi na kulinda haki za wananchi, hasa wauzaji na wanunuzi wa mazao. Na Mwandishi wetu Wakala wa vipimo (WMA) mkoa Kigoma imesema kuwa wanunuzi wa mazao na…