Hatua hiyo ni baada ya wananchi wenye makazi yao katika eneo hilo kulalamikia athari zilizoanza kujitokeza kutokana na shughuli za uchimbaji udongo kwa ajili ya tofali ambazo zimesababisha mashimo yanayotuamisha maji jirani na makazi yao na kuhatarisha usalama wa nyumba zao pamoja na athari nyingine Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Mohamed Chuachua…