Ujenzi wa ofisi ya machinga unatajwa kuwa utarahisisha utendaji kazi wa shirikisho hilo Na Lucas Hoha Shirikisho la machinga katika Mkoa wa Kigoma wameomba serikali kuendelea kuweka mazingira rafiki ya kufanyia shughuli zao za biashara ili waweze kuendelea kuchangia uchumi wao na taifa kwa ujumla. Wamesema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Machinga Mkoa wa Kigoma hafla…