November 19, 2026

Elimu kwa umma na ushirikiano wa wananchi vinaendelea kuwa sehemu muhimu katika juhudi za kukabiliana na vitendo vya rushwa katika maeneo ya biashara Na Timotheo Leonard Wanawake wachuuzi wa samaki katika Mwalo wa Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji, wamesema vitendo vya rushwa ya ngono katika eneo hilo vimepungua, wakihusisha mabadiliko hayo na elimu iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *