November 19, 2026

Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Mkoa wa Kigoma, ikishirikiana pamoja na Enabel, imeendesha Mafunzo ya Manunuzi ya Umma kwa siku nne. Mafunzo yameanza leo tarehe 17 hadi 20 Novemba 2026 katika ukumbi wa Kasulu Motel, Mafunzo haya yamewakutanisha wanawake na vijana 50 kutoka wilaya mbalimbali za Kigoma ikiwemo Kigoma mjini, Kasulu, Kibondo, Buhigwe na uvinza pamoja na wadau…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *