November 10, 2026

Watoto ni zawadi na hazina kubwa katika jamii kwa sababu wao ndio viongozi wa kesho na kila mtoto ana ndoto na matarajio yake kuhusu maisha ya baadaye wapo watoto wanaotamani kuwa madaktari, walimu, marubani, marais, wahandisi, wanamichezo na wataalamu wengine mbalimbali hivyo basi, ni wajibu wa wazazi, walimu, viongozi na jamii kwa ujumla kulinda na kuendeleza ndoto za watoto ili waweze kutimiza…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *