November 10, 2026

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuboresha huduma za afya nchini Na Mwandishi wetu Mradi wa mjamzito na mtoto salama unaotekelezwa na shirika la Thamini uhai umetajwa kuleta matokeo chanya kwa kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua katika hospitali ya Mji Kasulu na kituo cha afya kiganamo mkoani Kigoma.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *