azam-fc-vs-tanzania-prison_1the45685664p1jvhh1hr3yaf2

LIGI Kuu Tanzania Bara raundi ya tano imekamilika ambapo jumla ya Mabao yaliyofungwa ni 20.

Mechi ya Azam FC dhidi ya Kagera Sugar,  Uwanja wa Azam Complex imeleta mabao mengi ambayo ni sita na ile ya Mbeya City dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine haijaleta bao ndani ya dakika 90 na ni hiyo pekee ambayo timu zimegawana pointi mojamoja.

Matokeo yote yapo hivi:-

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *