jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeaswa kupinga na kukemea huduma zinazotolewa na wapiga ramli chonganishi maarufu kwa jina la Kamchape ama lambalamba kwani wanasababisha kuvuruga amani hali inayosababisha madhara makubwa katika wananchi.
hii hapa ni ripoti yake Hagai Ruyagila