pierre-emerick-aubameyang-arsenal-2019-20_1skot6q94mwii10gzhivk8zwf3-660x400

 

Nahodha wa Arsenal Pierre Emerick Aubameyang amejiondoa katika timu ya Taifa ya Gabon, sababu kubwa ikiwa ni maumivu ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo wa Sheffield Utd jumapili iliyopita.

Kwa mujibu wa kocha wa timu ya Taifa ya Gabon Patrice Neveu amesema “ Aubameyang hatakuwa sehemu ya timu katika mchezo wetu wa kimataifa dhidi ya Benin, kama kocha nasikitika kumkosa mchezaji huyu kikosin lakini hamna jinsi”

Aubameyang hajasafiri na timu kuelekea Lisbon nchini Ureno, madaktari wa timu wamethibitisha hawezi kucheza kwa sasa, kwa kuwa mechi hiyo itachezwa jumapili tarehe 11/20/2020.

SIRI NDANI YA MOYO WA SAMATTA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *