Senegal mara mbili imefuzu fainali za kombe hilo bila kufaulu

VAR ilifuta malalamishi mawili ya Senegal ya penalti , huku kipa wa Burkina Faso Herve Koffi akijeruhiwa katika tukio la kwanza .

Abdou Diallo na Idrissa Gueye waliipatia uongozi Senegal kabla ya Blati Toure kupunguza uongozi huo wakati wa muda wa lala salama.

Lakini Mane alifunga goli la tatu na kuipatia timu yake ushindi mkubwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *