Matumizi ya vipimo imeendelea kuwaathiri kiuchumi wakieleza kuwa matumizi ya lumbesa yamekuwa yakiwarudisha nyuma. Na Josephine Kiravu Wakulima katika Kata Matendo Halmashauri ya wilaya ya Kigoma wameiomba Serikali kuwashughulikia wanunuzi wa mazao yao ambao wamekuwa wakikaidi kutumia vipimo vinavyotakiwa. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema wanalazimika kuuza kwa hasara mazao…