Wadau wa maendeleo wametakiwa kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kusaidia kuboresha mazingira ya kujifunza na kujifunzia Na Hagai Ruyagila Shirika la Enabel kwa kushirikiana na chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Kasulu FDC kupitia mradi wa wezesha binti wamekabidhi msaada wa madawati 87 kwa ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri Mji Kasulu mkoani Kigoma, ikiwa ni sehemu ya juhudi…