November 10, 2026

Upatikanaji wa chakula shuleni ni muhimu kwa wanafunzi kwani inasaidia kuongeza hali ya wanafunzi kupunza utoro shuleni Na Mwandishi wetu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, CPA Fred Milanzi, ametoa wito wa kuongezwa kwa elimu na hamasa kwa jamii juu ya umuhimu wa upatikanaji wa chakula shuleni kwa wanafunzi, ili kuinua kiwango cha ufaulu. CPA Milanzi ametoa rai…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *