October 19, 2026

Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni imeanzia kambi ya matibabu ya kibingwa na bobezi kwa wananchi Na Timotheo Leonard Zaidi ya wananchi 3,500 wanatarajiwa kunufaika na huduma za matibabu ya kibingwa na bingwa bobezi kupitia kambi maalumu itakayofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni kuanzia Oktoba 19 hadi 23, mwaka huu. Akizungumza katika mkutano na…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *