Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu imepokea kiasi cha shilingi milioni 580 kwa ajili ya kuendeleza shughuli za maendeleo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji Kasulu Nurfus Aziz Ndee ambaye amesema fedha hizo wamepokea kutoka…