Mwenge wa uhuru 2026 umeendelea na mbio zake katika Halmashauri ya mji wa Kasulu ambapo unatembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Na Hagai Ruyagila Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, Mwl. Vumilia Julius Simbeye, amepokea Mwenge wa Uhuru 2026 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, CPA Francis Kafuku…