September 11, 2026

Kukamilika kwa mradi wa maji Nyamnyusi utasaidia kupunguza changamoto za wananchi kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya maji Na Emmanuel Kamangu Mwenge wa uhuru 2026 umekagua na kuzindua mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Bilion 1 katika kijiji cha nyamnyunsi halmashauri ya wilaya ya kasulu ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa serikali wa kuhakikisha inamtua mama ndo kichwani.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *