Vijana wametakiwa kufanya kazi kwa bidi na kujishughulisha na kazi zitakazowaingia kipato ili kuepeuka utegemezi Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Isaac Mwakisu, amewataka vijana wa Halmashauri ya Mji Kasulu kujiandaa kwa ajili ya maisha yao ya baadaye kwa kuwa wazalendo, kufanya kazi kwa bidii na kujihusisha na shughuli zenye manufaa kwao na taifa kwa…