August 29, 2026

Shule mpya inapunguza changamoto za umbali na msongamano, na hivyo kutoa mazingira bora yanayoweza kuongeza mahudhurio, ushiriki na ufaulu wa wanafunzi Na Emmanuel Kamangu Wananchi wa Kijiji cha Titye, Kata ya Titye, Wilaya ya Kasulu, wameanza ujenzi wa shule mpya ya msingi ikiwa ni mkakati wa kupunguza msongamano katika Shule ya Msingi Titye na kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *