August 28, 2026

Kutengeneza madawati huwasaidia wanafunzi kupata sehemu nzuri ya kukalia wakati wa masomo badala ya kukaa sakafuni, wanafunzi hukaa kwenye madawati na hivyo kuwa tayari kujifunza Na Emmanuel Kamangu Wazazi na walezi wa shule ya msingi titye kata ya titye Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametengeneza madawati 100 na kuyakabidhi kwa shule hiyo ili kukabiliana na wimbi la watoto kukaa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *