Uboreshaji wa miundombinu ni sehemu ya mkakati wa kukuza na kustawisha biashara za wajariamali na kuongeza kipato cha familia zao na Taifa kwa ujumla Na Josephine Kiravu Wajasiriamali katika mwalo wa Kalalangabo kata ya Ziwani Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya barabara kutoka eneo hilo kuelekea kibirizi sambamba na kusimamia vyema usafi wa…