Usimamizi wa miradi na kuikamilisha kwa wakati husaidia kuanza kutoa huduma zilizo bora kwa wananchi Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amezitaka Halmashauri Mkoani humo kuendelea kuzingatia usimamizi wa miradi na kuikamilisha kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa Balozi Sirro amesema hayo akiwa wilayani Kibondo katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo…