Wafanyabiashara wadogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kutumia vyema fursa za kiuchumi wanazopewa ili kujikwamua kiuchumi na kujipatia maendeleo endelevu kwa ustawi wa jamii ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wanawake kiuchumi na kuwapatia vifaa wezeshi kwa ajili ya shughili zao za kila siku. Na Sadick Kibwana Hayo yamesemwa na Mratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali…