Viongozi wa dini wametakiwa kuendelea kuhimiza jamii na waumini wao kusimamia maadili mema ili kujenga kizazi chema Na Hagai Ruyagila Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema inaendelea kutambua mchango mkubwa wa taasisi za dini katika kujenga taifa lenye maadili mema, kuhamasisha wananchi kudumisha amani na upendo, hali inayowezesha Serikali kutekeleza kwa ufanisi mipango yake ya maendeleo…