Kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini ni kitendo cha huruma, upendo na mshikamano kinachochangia kuboresha ustawi wa wagonjwa na familia zao na misaada hiyo inaweza kujumuisha vyakula, sabuni, nguo, vifaa vya usafi na mahitaji mengine muhimu yanayosaidia kurahisisha maisha ya wagonjwa wakati wa matibabu. Na Hagai Ruyagila Maafisa usafirishaji (bodaboda) katika stendi kuu ya…