Mradi wa umwagiliaji wa bonde la Mto Luiche unaotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma ni miongoni mwa miradi mikubwa ya maendeleo inayolenga kuimarisha sekta ya kilimo nchini Na Tryphone Odace Serikali imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa umwagiliaji wenye thamani ya shilingi bilioni 65 katika Bonde la Mto Luiche katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Mkoani Kigoma ukiwa na…