July 17, 2026
Wadau wahimiza mazingira bora ya biashara kwa vijana wanawake Kigoma

Biashara ni nguzo muhimu ya maendeleo ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla Na Sadick Kibwana Wafanyabiashara wanawake Mkoani Kigoma wametakiwa kutumia kikamilifu teknolojia, kurasimisha biashara zao na kuzitumia fursa za kiuchumi zinazowazunguka ili kuongeza tija na kuchangia katika maendeleo ya jamii. Wito huo umetolewa katika mdahalo uliowakutanisha wadau wa sekta ya…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *